HALI YA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NCHINI YAIMARIKA
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akitoa maelezo kuhusu hoja mbalimbali zilizowasilishwa kuhusu utoaji huduma ya maji nchini katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), kulia, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. January Makamba (Mb) washiriki katika mkutano wa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) hayupo pichani. PICHANI Kutoka kushoto; Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembea (Mb), akifuatiwa na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. January Makamba (Mb) na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), wakisikiliza maswali kutoka kwa waandishi wa habari. Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi I...