Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akikabidhi mkataba mapema leo jijini Dodoma kwa Mkurugenzi wa kampuni ya ujenzi ya Na Nandhra Bw. Daman Singh Nandhra ili kuanza kazi itayofanyika kwa miezi 12 Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akikagua mazingira ya kazi jijini Dodoma pamoja na Mkurugenzi wa kampuni ya ujenzi ya Na Nandhra Bw. Daman Singh Nandhra. Taswira ya Jengo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji jijini Dodoma kabla ya kazi ya kukamilisha ujenzi wa mwisho ili lianze kutumika. Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akiangalia baadhi ya vyumba vya jengo litakalokua makao makuu ya wizara yake jijini Dodoma.
Comments
Post a Comment