WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI KUHAMIA KATIKA JENGO LAKE - PROF. MKUMBO
![]() |
Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akikagua mazingira ya kazi jijini Dodoma pamoja na Mkurugenzi wa kampuni ya ujenzi ya Na Nandhra Bw. Daman Singh Nandhra. |
![]() |
Taswira ya Jengo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji jijini Dodoma kabla ya kazi ya kukamilisha ujenzi wa mwisho ili lianze kutumika. |
![]() |
Katibu
Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akiangalia baadhi ya
vyumba vya jengo litakalokua makao makuu ya wizara yake jijini Dodoma.
|
Comments
Post a Comment