Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akisaini kitabu cha wageni wilayani Chamwino kabla ya kutembelea miradi ya maji na kuwasikiliza wananchi. Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akitoa maelekezo baada ya kusikiliza changamoto na kero kutoka kwa wananchi kuhusu bwawa la maji la Ikoa-Chalinze wilayani Chamwino mkoani Dodoma Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akisalimiana na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kabla ya kutembelea miradi ya maji, na kuongea na wananchi katika wilaya hiyo . Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akienda kukagua bwawa la skimu ya umwagiliaji, Ikoa, lililopo katika kijiji cha Chalinze katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino . Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Chilonwa Mhe. Joel M. Mwaka na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Vumilia J. Nyamoga w...
Comments
Post a Comment