Posts

Showing posts from May, 2018

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumzia utekelezaji wa miradi ya maji

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumzia utekelezaji wa miradi ya maji katika mkoa wa Iringa pamoja na utunzaji wa vyanzo vya maji nchini. Bofya kiunganisho kifuatacho kutazama video; https://www.facebook.com/100010854431061/videos/818992838472523/?id=100010854431061

WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI KUHAMIA KATIKA JENGO LAKE - PROF. MKUMBO

Image
Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akikabidhi mkataba mapema leo jijini Dodoma kwa Mkurugenzi wa kampuni ya  ujenzi ya Na Nandhra Bw. Daman Singh Nandhra ili kuanza kazi itayofanyika kwa miezi 12    Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo  akikagua mazingira ya kazi jijini Dodoma pamoja na Mkurugenzi  wa kampuni ya  ujenzi ya Na Nandhra Bw. Daman Singh Nandhra.  Taswira ya Jengo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji jijini Dodoma  kabla ya kazi ya kukamilisha ujenzi wa mwisho ili lianze kutumika. Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akiangalia baadhi ya vyumba vya jengo litakalokua makao makuu ya wizara yake jijini Dodoma.

Bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji 2018-2019

Bofya kiunganisho kusoma Hotuba ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji 2018-2019 http://www.maji.go.tz/speeches

Waziri Kamwelwe (Mb) awasilisha bajeti ya 2018-2019

Image
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akisoma hotuba ya bajeti ya mwaka 2018-2019 Bungeni Dodoma.

KATIBU MKUU-MAJI NA UMWAGILIAJI PROF. MKUMBO ATEKELEZA MAELEKEZO YA RAIS MAGUFULI

Image

Serikali inawekeza na kuimarisha hali ya upatikanaji wa maji safi kwa wananchi

Image
"Serikali inawekeza na kuimarisha hali ya upatikanaji wa maji safi kwa wananchi. Uwekezaji huo umeleta mabadiliko kutoka upatikanaji kwa asilimia 50 hadi kufikia asilimia 78 mijini na vijijini asilimia 68.8 kwa kutekeleza idadi ya miradi ya maji 1,810" # maji ni uhai, sisi ni maji

Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA) yapata bodi mpya.

Image