Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakisikiliza mada katika kikao kilichofanyika leo, Dodoma . Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Prof. Kitila Mkumbo (kulia), pamoja na wajumbe wengine, akifuatilia mada wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi leo, Dodoma . Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakisikiliza utekelezaji wa mpango wa wizara leo, mkoani Dodoma
Comments
Post a Comment