Serikali inawekeza na kuimarisha hali ya upatikanaji wa maji safi kwa wananchi
"Serikali inawekeza na kuimarisha hali ya upatikanaji wa maji safi kwa wananchi. Uwekezaji huo umeleta mabadiliko kutoka upatikanaji kwa asilimia 50 hadi kufikia asilimia 78 mijini na vijijini asilimia 68.8 kwa kutekeleza idadi ya miradi ya maji 1,810"
Comments
Post a Comment