Posts

Showing posts from March, 2018

CONSULTANCY SERVICES FOR DEVELOPMENT AND IMPLEMENTATION OF LABORATORY INFORMATION MANAGEMENT SYSTEM (LIMS)

Image
   THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER AND IRRIGATION                                                                       REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST (CONSULTING SERVICES – FIRMS SELECTION) TENDER NO. ME 011/2017-2018/C/42 CONSULTANCY SERVICES FOR DEVELOPMENT AND IMPLEMENTATION OF LABORATORY INFORMATION MANAGEMENT SYSTEM (LIMS) 1.       This request for expression of interest follows the General Procurement Notice for the project that appeared in the United Nations Development Business; Issue No. WB5803 – 12/16 of December 21, 2016. 2.       The Government of the United Republic of Tanzania through the Ministry of Water and Irrigation (MoWI) has received financing from the World Bank towards the cost ...

PROF. MKUMBO AONGOZA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI, BARAZA LAPITIA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA CHANGAMOTO

Image
Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakisikiliza mada katika kikao kilichofanyika leo, Dodoma .   Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Prof. Kitila Mkumbo (kulia), pamoja na wajumbe wengine, akifuatilia mada wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi leo, Dodoma . Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakisikiliza utekelezaji wa mpango wa wizara leo, mkoani Dodoma

REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST TENDER NO. ME 011/2017-2018/C/40

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER AND IRRIGATION REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST TENDER NO. ME 011/2017-2018/C/40 PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES FOR FEASIBILITY STUDY, DETAIL DESIGN AND PREPARATION OF TENDER DOCUMENTS FOR MASASI NACHINGWEA URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY 1.       This request for expression of interest follows the General Procurement Notice for Ministry of Water and Irrigation that appeared in News Papers (Daily News) of 11 th August, 2017 2.       The Government of the United Republic of Tanzania through the Ministry of Water and Irrigation (MOWI) has set aside funds for the financial year 2017/2018 towards the operation of Water Sector Development Program (WSDP II) and intends to apply part of the proceeds for the Provision of Consultancy Services for Feasibility Study, Detail Design and Preparation of Tender Documents for Masasi Nachingwea Urban Water ...

TUFANYE KAZI KWA UBORA NA WAKATI-MHANDISI KAMWELWE (MB)

Image
Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akitoa neno la utangulizi katika kikao kazi kilichowakutanisha watendaji wa wizara na taasisi zake leo. Prof. Mkumbo amesisitiza utoaji wa huduma na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayowalenga wananchi wa Tanzania ni picha inayojieleza kuwa serikali ipo na wananchi ndio namba moja katika huduma hizo.   Sehemu ya watendaji waliohuduhuria kikao hicho wakimsikiliza Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isac Kamwelwe (Mb), hayupo pichani. Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiongea na watendaji wa wizara na taasisi zake. Mhe. Jumaa amesisitiza kazi ifanyike kwa pamoja na kufikia lengo la kumtua mama ndoo ya maji nchini.  Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isac Kamwelwe (Mb) akisalimia na watendaji wa wizara na taasisi zake, kabla ya kuongea nao kuhusu utekelezaji na hatua zilizofikiwa katika kazi na miradi inayiohusu huduma ya maji  nchini.  Waziri wa...