Posts

Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA) yapata bodi mpya.

Image

HALI YA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NCHINI YAIMARIKA

Image
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akitoa maelezo kuhusu hoja mbalimbali zilizowasilishwa kuhusu utoaji huduma ya maji nchini katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), kulia, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. January Makamba (Mb) washiriki katika mkutano wa   Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) hayupo pichani. PICHANI Kutoka kushoto;   Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembea (Mb), akifuatiwa na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. January Makamba (Mb) na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), wakisikiliza maswali kutoka kwa waandishi wa habari.  Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi I...

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHE. MHANDISI KAMWELWE (MB) ASIKILIZA KERO ZA MAJI CHAMWINO

Image
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akisaini kitabu cha wageni wilayani Chamwino kabla ya kutembelea miradi ya maji na kuwasikiliza wananchi. Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akitoa maelekezo baada ya kusikiliza changamoto na kero kutoka kwa wananchi kuhusu bwawa la maji la Ikoa-Chalinze  wilayani Chamwino mkoani Dodoma Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akisalimiana na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kabla ya kutembelea miradi ya maji, na kuongea na wananchi katika wilaya hiyo . Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akienda kukagua bwawa la skimu ya umwagiliaji, Ikoa, lililopo katika kijiji cha Chalinze katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino .   Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Chilonwa Mhe. Joel M. Mwaka na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Vumilia J. Nyamoga w...

CONSULTANCY SERVICES FOR DEVELOPMENT AND IMPLEMENTATION OF LABORATORY INFORMATION MANAGEMENT SYSTEM (LIMS)

Image
   THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER AND IRRIGATION                                                                       REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST (CONSULTING SERVICES – FIRMS SELECTION) TENDER NO. ME 011/2017-2018/C/42 CONSULTANCY SERVICES FOR DEVELOPMENT AND IMPLEMENTATION OF LABORATORY INFORMATION MANAGEMENT SYSTEM (LIMS) 1.       This request for expression of interest follows the General Procurement Notice for the project that appeared in the United Nations Development Business; Issue No. WB5803 – 12/16 of December 21, 2016. 2.       The Government of the United Republic of Tanzania through the Ministry of Water and Irrigation (MoWI) has received financing from the World Bank towards the cost ...

PROF. MKUMBO AONGOZA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI, BARAZA LAPITIA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA CHANGAMOTO

Image
Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakisikiliza mada katika kikao kilichofanyika leo, Dodoma .   Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Prof. Kitila Mkumbo (kulia), pamoja na wajumbe wengine, akifuatilia mada wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi leo, Dodoma . Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakisikiliza utekelezaji wa mpango wa wizara leo, mkoani Dodoma

REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST TENDER NO. ME 011/2017-2018/C/40

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER AND IRRIGATION REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST TENDER NO. ME 011/2017-2018/C/40 PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES FOR FEASIBILITY STUDY, DETAIL DESIGN AND PREPARATION OF TENDER DOCUMENTS FOR MASASI NACHINGWEA URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY 1.       This request for expression of interest follows the General Procurement Notice for Ministry of Water and Irrigation that appeared in News Papers (Daily News) of 11 th August, 2017 2.       The Government of the United Republic of Tanzania through the Ministry of Water and Irrigation (MOWI) has set aside funds for the financial year 2017/2018 towards the operation of Water Sector Development Program (WSDP II) and intends to apply part of the proceeds for the Provision of Consultancy Services for Feasibility Study, Detail Design and Preparation of Tender Documents for Masasi Nachingwea Urban Water ...